sw.news
89

Muziki WA Litajia Ni Upanga Wenye Pande Mbili - Na Maestro Aurelio Porfiri

Muziki ni muhimu katika litajia na hivyo basi ni lazima uchukuliwa kwa umakinifu fulani.

Wastaarabu wa zamani, haswa Wagriki, walielewa nguvu za muziki, na sayansi ya ubongo imethibitisha: muziki una athari ya kina juu ya hisia zetu na jinsi tuyaonavyo mambo.

Lakini kinachoweza kuwa njiz kuu ya maombi na uhubiri kinaweza kubdilika na kuwa silaha hatari.

Kwa bahati mbaya, muziki wa sasa wa Litajia hutumika kwa mara nyingi kuwapendeza wanadunia, wala sio roho.

Uovu wa muziki wa kilitajia ni janga la nyakati zetu , sio tu kwa Wakatoliki tu lakini pia kwa utamaduni pia.

Iwapo muziki wa Kanisa utawapendeza wanadunia na kutotuinua juu ya kilicho cha kawaida tena, basi umefeli wajibu wake.

Huwa tunaitawala dunia au sdunia itutawale.

Muziki wa litajia ni silaha yenye nguvu, dhidi ya dunia au dhidi ya Kanisa.

Aurelio Porfiri ni mtunzi , mwongozaji, mwalimu na mwandishi. Amechapisha zaidi ya nyimbo 100 nchini Italia, Ujerumani, Uchina,Marekani na Ufaransa, na takriban vitabu 30 na zaidi ya nakala 600. Porfiri huishi Rome na Hong Kong. Mtandao wake unaweza kupatikana hapa here.

Picha: Aurelio Porfiri, © ccwatershed.org, #newsVtobqiglju