sw.news
42

Benedict Akashifu “Theology of Pope Francis”

Hatimaye barua kamili imechapishwa ambayo Benedict XVI alimwandikia Monsignor Dario Viganò, Afisi ya Mawasiliao ya Vatikani, kama jibu la ombi la kuandika utangulizi wa vitabu kumi na kimoja viitwavyo …Zaidi
Hatimaye barua kamili imechapishwa ambayo Benedict XVI alimwandikia Monsignor Dario Viganò, Afisi ya Mawasiliao ya Vatikani, kama jibu la ombi la kuandika utangulizi wa vitabu kumi na kimoja viitwavyo “Theology of Pope Francis”(
Teolojia ya Papa Francis). Kupitia kwa barua hiyo yake, Benedict alikataa ombi hilo kwa heshima.
Mapema juma hili Viganò alichapisha sehemu zilizokuwa zimechaguliwa za barua hiyo, sehemu ambazo ziliashiria kwamba Benedict alikuwa amemsifu Feancis na "Teolojia" yake.
Sehemu za barua hiyo ambazo hazikuchapishwa hapo awali na kisha kuchapishwa hivi maajuzi zinashambulia kwani Benedict XVI alikosoa kuwa Mwanateolojia Mjerumani Padre Peter Hünermann ambaye hulipinga Kanisa yumo miongoni mwa waandishi wa vitabu hivyo. Hivi ndivyo alivyoandika Benedict:
"La ziada ningetaka kueleza mshangao wangu kwa kuwa miongoni mwa waandishi yupo Profesa Hünermann, ambaye wakati wa Upapa wangu alijitambulisha kwa kuongoza miradi dhidi ya Papa. Alishiriki pakubwa katika uchapishaji …Zaidi