sw.news
50

Francis Hutoa Taswira Bandia Ya China

Maafisa wa China walibomoa mnamo mwezi Januari mwaka wa 2018 Kanisa la Kinara cha Dhahabu mjini Lifen, katika wilaya ya Shanxi.

Kulinganan na ChinaAid (Januari 11), ujenzi wa Kanisa hilo uligharimu takriban dolla milioni 2.6. Pesa hizi zilichangwa na waumini kutoka eneo hilo maskini la China. Katika mwongo uliopita, maelfu ya misalaba iling'olewa katika Makanisa kote China, na Makanisa mengi kubomolewa.

Hata hivyo, Papa Francis alidai mnamo mwezi Januari mwaka wa 2017 kuwa "unaweza kuendeleza imani yako nchini China."

#newsEmkdkwntha

00:49