Lugha
9

Kadinali Burke Amefikiria Kuhusu Kuharamishwa Kwake

Kadinali Raymond Burke ameambia mtandao wa LifeSiteNews.com (Aprili 17) kwamba amepata ona lake kuharamishwa na Papa Francis kwa sababu ya kuupinga mkondo [wa kizushi] wa Amorisa Laertitia …
Andika maoni …
11

Maaskofu Waholanzi: "Hakuna Wakati" Wa Francis

Maaskofu Waholanzi hawatasherehekea asimisho la kuchaguliwa kwa Francis licha ya hili kuwa desturi dhabiti kwa muda mrefu, kituo cha Nederlands Dagblad (Aprili 17) kilitangaza. Kwa mara ya kwanza…
Andika maoni …
6

Gaudete et Exsultate "Inasikitisha Sana"

Shsuri la kichungaji la Francis Gaudete et Exsultate ni ulinzi uliofichwa wa nakala tatanishi ya Amoris Laetitia kulingana na Padre wa New York Gerald Murray. Akizungumza na kituo cha EWTN (Apri…
Andika maoni …
13

Uhusiano Wa Kisiri Kati Ya "Gaudete et Exultate" Na "Amoris Laetitia"

Nakala za Francis pia hudhibitisha imani halisi, ameandika Dan Hitchens, naibu mhariri katika mtandao wa CatholicHerald.co.uk, kwenye mtandao wa firstthings.com (Aprili 12). Lakini pia huwa na mamb…
Andika maoni …
15

Vatikani Inaelekea Kuwasaliti Wakatoliki Wachina - Kadinali Zen

Kadinali Joseph Zen amesema kwamba Waziri wa Masuala ya Mataifa ya Kigeni wa Vatikani, Kadinali Pietro Parolin, anataka kulisaliti Kansia Katoliki Nchini Uchina. Kanisa hulazimika kujificha nchini …
Andika maoni …
17

Francis Kuhusu Wasioamini Uwepo Wa Mungu, "Yuko Mbinguni, Nina Uhakika."

Wakati wa ziara yake kwenye Parokia ya Corviale (Aprili 15), Popa Francis alikutana na mvulana mmoja aitwaye Emanuele wambaye alimwendea Francisa na kusema, "Baba yangu ameaga dunia, alikuwa mwema,…
Andika maoni …
13

Maaskofu Wa Kanada Walijadili Kuutupilia Mbali Useja

Maaskofu Wakatoliki wa Quebec wamejadili kuutupilia mbali useja wakati wa mkutano katikati mwa mwezi Machi, kituo cha Catholic Herald (Aprili 6) kimetangaza. Kulingana na Askofu msaidizi wa Quebec …
Andika maoni …
13

Marekebisho Ya Kuchukiza: Upungufu Katika hudhurio La Ibada ya Misa NI Mwingi Zaidi Chini Ya Papa …

Hudhurio la kila juma miongoni mwa Wakatoliki wa Marekani limeshuhudia upumgufu mwingi tangu kuchaguliwa kwa Papa Francis kulingana na Gallup Poll (Aprili 9), Hudhurio lilikuwa asilimia 39 tangu mwak…
Andika maoni …
13

Francis Hupinga Kufanywa Upya Kwa Novus Ordo - Kadinali Sarah

Mwanahabari Mholanzi Hndro Munsterman ameripoti kupitia kwa mtandao wa Twitter (Aprili 3) kwamba "Wakati wa ziara ya kibinafsi kwa Watawa wa Wabenedikti nchini Uholanzi, Kadinali Sarah alisema …
Andika maoni …
8

Ombi Dhidi ya Vita Dhalimu Nchini Syria: "Wengine Wetu Hukumbuka Vita Vya Pili Vya Ulimwengu"

Mwanahabari Mmarekani/Mjerumani Maike Hickson na mumewe, Daktari Robert Hickson, mwenye shahada katika chuo kikuu cha West Point na aliekuwa mwanajeshi katika kikosi cha Special Forces, …
Andika maoni …
15

Blogu La Askofu : Uchaguzi Wa Francis Ni Batili

Askofu Mstaafu Rene Gracida, 94, wa Corpus Christi, Texas, alichapisha kwenye mtandao wa Abyssum.org (Aprili 7) nakala ya mgeni ambaye hakutambulishwa ambayo inatilia shaka kuchaguliwa kwa Papa …
Andika maoni …
6

Shirika La Malta Lawaadhibu Wapinzani Wake

Wanachama wa Shirika la Malta kote duniani wameonywa dhidi ya kukiunga mkono kitabu cha “The Dictator Pope” au mwandishi wa kitabu hicho, kituo cha Catholic Herald kimetangaza. Onyo hilo lilitumwa…
Andika maoni …
14

Wote Walioko Kwenye Opus Dei Huunga Mkono "hekima" ya Papa Francis

Shirika la Opus Dei halina shida na Papa Francis ila linamuunga mkono pamoja na kazi yake, kulingana na mkuu wake nchini Marekani, Monsignore Thomas Bohlin. Kwenye barua yake kwa New York Times (…
Andika maoni …
7

Askofu Mwaustria: "Mkunjufu" Francis Hukataa Kuwa "Mkunjufu"

Askofu msaidizi mstaafu wa Salzburg Andreas Laun amesema kwamba Papa Francis hupenda sana kuzungumzia ukunjufu na neema lakini, wakati uo huo, kuwatupilia mbali hata makadinali, wanaposhuku …
Andika maoni …
13

De Mattei: " Baba Mtakatifu, Wewe Ndiwe wa Kwanza Kuwajibikia Utata"

Papa Francis hajasababisha utata ulioko Kanisani peke yake. Yeye pia ni mazao ya utaratibu wa kujibomoa kwa Kanisa ulio na mizizi ya ustaarabu, Nouvelle théologie, Baraza la Pili la Vatikani, na …
Andika maoni …
10

Askofu Mkuu Wa Philadelphia Akisifu Kitabu Ambacho Kinamkashifu Francis Vikali

Askofu mkuu wa Philadelphia Chaput alikiita kitbau cha Ross Douthat To Change the Church "chenye maarifa na cha kuvutia". Douthat ni mwandishi na mwandishi wa habari wa gazeti la habari bandia la …
Andika maoni …