sw.news
99

Habari Zinazochipuka: Vatikani Yapiga Marufuku Ekaristi Kwa Waprotesanti Nchini Ujerumani.

Shirika la Mafundisho ya Imani limetupilia mbali mpango wa Maaskofu Wajerumani kuwakubalisha Waprotestanti kupokea Ekaristi Takatifu, mtandao wa kath.net (Aprili 18) umeripoti. Maaskofu hao walipiga kuraMore
Shirika la Mafundisho ya Imani limetupilia mbali mpango wa Maaskofu Wajerumani kuwakubalisha Waprotestanti kupokea Ekaristi Takatifu, mtandao wa kath.net (Aprili 18) umeripoti.
Maaskofu hao walipiga kura mnamo mwezi Februari na kuunga mkono dhabihu hilo kwa njia ya walio wengi.
Hata hivo, Maaskofu saba walitilia shaka uamuzi huo huko Vatikani.
Sasa Shirika hilo limetupilia mbali dhana hiyo ya Wajerumani hao kwa idhin ya Papa Francis. Uamuzi huo mbaya tayari umetumwa kwa Maaskofu hao Wajerumani.
Hili ni pigo kuu kwa Kadinali wa Munich Reinhard Marx, Rais wa Baraza la Maaskofu hao na mwanachaa katika Baraza la Makadinali la Papa Francis.
Picha: © Mazur, catholicnews.org.uk, CC BY-NC-SA, #newsUoqrfhcceo
sw.news
75

Hoja tatu Muhimu Zinazomuungz Mkono Na Kumpinga Francis

Kuna hoja tatu muhimu ambazo zinaoinga au kuunga mkono jaribio la Papa Francis kuyabadilisha mafunzo ya Kanisa kuhusu ndoa, mwanahabari wa Mmarekani Ross Douthat aliambia NcRegister.com (Aprili 16). …More
Kuna hoja tatu muhimu ambazo zinaoinga au kuunga mkono jaribio la Papa Francis kuyabadilisha mafunzo ya Kanisa kuhusu ndoa, mwanahabari wa Mmarekani Ross Douthat aliambia NcRegister.com (Aprili 16).
Douthat alizifupisha hoja zinazomuunga mkono Francis hivi:
- Kanisa [linasemekana] limebadilisha mafundisho yake hapo awali, juu ya masuala kama vile ushuru na uhuru wa kidini
- Papa ndiye papa na Wakatoliki wote wanastahili kuzitii tafsiri zake.
-Wapenzi ambao hupatiaana talaka walishindwa kutimiza idhini halisi inayohitajika na ndoa ya Kikatoliki.
Dhidi ya hoja hizi Douthat anapinga:
-Mafunzo ya Kanisa juu ya ndoa ni ya kimsingi zaidi kushinda ya ushuru na uhuru wa kidini na hurudi nyuma hdi kwake Yesu mwenyewe
-Nguvu za Papa haziwezi kutumika kulielekeza Kanisa katika hali ya kujichanganya - Ndoa sio tu ya Wakatoliki halisi na kubatilishwa moja kwa moja huenda kukabadilisha ndoa na kuifanya dhana ya kupendeza. Picha: © Mazur, catholicnews.org.uk, CC BY-NC-SA, #newsLlbstereay
sw.news
26

Askofu Wa Maronite Ahitilafiana Na Uzushi Wa Francis

Jahanamu ni hali ya kujitenga na ushirika na Mungu, Askofu wa Maronite Kadinali Béchara Cardinal Raï ameandika kwenye kijitabu cha kimafundisho cha "The Truth That Liberates and Unites", kilichotolewa …More
Jahanamu ni hali ya kujitenga na ushirika na Mungu, Askofu wa Maronite Kadinali Béchara Cardinal Raï ameandika kwenye kijitabu cha kimafundisho cha "The Truth That Liberates and Unites", kilichotolewa mnamo tarehe 9 mwezi Aprili.
Raï anasema kwamba Kanisa hukataa mafundisho ya "matengenezo", ambayo hudokeza kwamba mwishoni viumbe vyote vitarejea Mbinguni.
Papa Francis alikana mnamo tarehe 29 mwezi Machi uwepo wa jahanamu.
Picha: Béchara Pierre Raï, © Piotr Rymuza, CC BY-SA, #newsUsnbjijtyz
sw.news
31

Kadinali Burke Amefikiria Kuhusu Kuharamishwa Kwake

Kadinali Raymond Burke ameambia mtandao wa LifeSiteNews.com (Aprili 17) kwamba amepata ona lake kuharamishwa na Papa Francis kwa sababu ya kuupinga mkondo [wa kizushi] wa Amorisa Laertitia kuhusiana …More
Kadinali Raymond Burke ameambia mtandao wa LifeSiteNews.com (Aprili 17) kwamba amepata ona lake kuharamishwa na Papa Francis kwa sababu ya kuupinga mkondo [wa kizushi] wa Amorisa Laertitia kuhusiana na Ekaristai kwa Wazini.
Lakini Burke alimkumbuka katika muktadha huu Mtakatifu Athanasius ambaye alipelekwa uhamishoni kwa sababu ya kutetea ukweli halisi wa hali mbili katika Mtu mmoja Mtakatifu Bwana Wetu.
Athanasius alipelekwa uhamishoni angalau mara tano maishani mwake kwa sababu alipigana dhidi ya uzushi wa Arian na kusisitiza kwamba Yesu Kristo ni Mungu.
Papa Liberius - mtangulizi wa Papa Francis - alimharamisha Mtakatifu huyo.
#newsHpnjilfnqy
sw.news
27

Maaskofu Waholanzi: "Hakuna Wakati" Wa Francis

Maaskofu Waholanzi hawatasherehekea asimisho la kuchaguliwa kwa Francis licha ya hili kuwa desturi dhabiti kwa muda mrefu, kituo cha Nederlands Dagblad (Aprili 17) kilitangaza. Kwa mara ya kwanza …More
Maaskofu Waholanzi hawatasherehekea asimisho la kuchaguliwa kwa Francis licha ya hili kuwa desturi dhabiti kwa muda mrefu, kituo cha Nederlands Dagblad (Aprili 17) kilitangaza.
Kwa mara ya kwanza katika muda mrefu, maaskofuhao wamebatilisha Ibada hiyo ya kila mwaka mjini Hague, Uholanzi.
Walimjulisha mwakilishi wa papa (Nuncio) kwamba "hawana wakati" wa kusherehekea sherehe hiyo.
#newsKfwtrfgzks
sw.news
40

Gaudete et Exsultate "Inasikitisha Sana"

Shsuri la kichungaji la Francis Gaudete et Exsultate ni ulinzi uliofichwa wa nakala tatanishi ya Amoris Laetitia kulingana na Padre wa New York Gerald Murray. Akizungumza na kituo cha EWTN (Aprili …More
Shsuri la kichungaji la Francis Gaudete et Exsultate ni ulinzi uliofichwa wa nakala tatanishi ya Amoris Laetitia kulingana na Padre wa New York Gerald Murray.
Akizungumza na kituo cha EWTN (Aprili 12), Murray alisema kwamba katika Gaudete et Exsultate Francis anawakashifu watu ambao humpinga.
Hivyo basi shauri hilo linajulikana pia kama Gaudete et Insultate. Kwake Murray hili "linasikitisha mno."
Anasemba kwamba ni dhidi ya Ukatoliki kufutilia mbali kwa kishindo utiifu kwa Amri Kumi kama makosa na mtu ambaye huyafuata mafunzo ya Kristo haishi katika "jumba la makumbusho" kama apendekezavyo Francis:
"Sio mara nyingi, kinyume na utendaji wa Roho, Maisha ya Kanisa yanaweza kuwa jumba la makumbusho au mali ya wachache waliochaguliwa. Hili linaweza kufanyika wakati ambapo vikundi kadhaa vya Wakristo hupatia umuhimu mwingi sheria fulani, tamaduni au tabia." (Gaudete et Exultate 58)
#newsVsbqqprvyn
sw.news
38

Uhusiano Wa Kisiri Kati Ya "Gaudete et Exultate" Na "Amoris Laetitia"

Nakala za Francis pia hudhibitisha imani halisi, ameandika Dan Hitchens, naibu mhariri katika mtandao wa CatholicHerald.co.uk, kwenye mtandao wa firstthings.com (Aprili 12). Lakini pia huwa na mambo …More
Nakala za Francis pia hudhibitisha imani halisi, ameandika Dan Hitchens, naibu mhariri katika mtandao wa CatholicHerald.co.uk, kwenye mtandao wa firstthings.com (Aprili 12).
Lakini pia huwa na mambo mengine pia, "ambayo huenda yakawajibikia mambo zaidi hatimaye."
Hitchens alitoa mfano wa maneno ya Amoris Laetitia kwamba "utamu wa kuhisi penzi huelezwa kupitia kwa "mtazamo" huo ambao humfikiria mtu mwingine kuwa kipande ndani yao." Anakiri kwamba fungu hili halijasababisha ufufuo wa mkubwa katika jinsi ambavyo watu hutazamana kimapenzi.
Lakini shaka zitokanazo na Amoris Laetitia " zimetumika kutetea makosa hatari ya kichungaji" ambayo Francis huwa harekebishi.
Hili pia ni sawa katika shauri la kichungaji Gaudete et Exsultate ambalo linashikilia vikali "usalama wa kimafundisho au nidhamu" (nk) ksns kana kwamba ni ovu.
Hapo Hitchens anapendekeza kama sababu ya Gaudete et Exsultate - iitwayo kwa jina lingine "Gaudete et Insultate"- iliandikwa:
"NI kana kwamba Gaudete inaonyesha hitilafu …More
sw.news
36

Vatikani Inaelekea Kuwasaliti Wakatoliki Wachina - Kadinali Zen

Kadinali Joseph Zen amesema kwamba Waziri wa Masuala ya Mataifa ya Kigeni wa Vatikani, Kadinali Pietro Parolin, anataka kulisaliti Kansia Katoliki Nchini Uchina. Kanisa hulazimika kujificha nchini humo …More
Kadinali Joseph Zen amesema kwamba Waziri wa Masuala ya Mataifa ya Kigeni wa Vatikani, Kadinali Pietro Parolin, anataka kulisaliti Kansia Katoliki Nchini Uchina.
Kanisa hulazimika kujificha nchini humo huku Vatikani ikifikia makubaliano na Wakomunisti wa Uchina ambao wamekuwa wakiliangamiza Kanisa kwa miongo mingi.
Zen alieleza kukashifu kwake mnamo tarehe 7 mwezi Aprili mjini Bonn, nchini Ujerumani, alipopokea "Zawadi ya Stephanus ya Wakristu walioteswa", Mathias von Gersdorff aliandika kwenye mtandao wa onepeterfive.com.
Picha: Joseph Zen, © mathias-von-gersdorff.blogspot.ro, #newsKtzfmuubfr
sw.news
48

Francis Kuhusu Wasioamini Uwepo Wa Mungu, "Yuko Mbinguni, Nina Uhakika."

Wakati wa ziara yake kwenye Parokia ya Corviale (Aprili 15), Popa Francis alikutana na mvulana mmoja aitwaye Emanuele wambaye alimwendea Francisa na kusema, "Baba yangu ameaga dunia, alikuwa mwema, …More
Wakati wa ziara yake kwenye Parokia ya Corviale (Aprili 15), Popa Francis alikutana na mvulana mmoja aitwaye Emanuele wambaye alimwendea Francisa na kusema, "Baba yangu ameaga dunia, alikuwa mwema, hakuamini uwepo wa Mungu ila aliwafanya watoto wake wote wabatizwe ingawaje hana imani. Je, baba yangu yuko Mbinguni?"
Francis alimjibu kwa swali balagha: " Je, Mungu mwenye roho ya baba, anaweza kumwacha baba asiye na imani ambaye aliwafanya watoto wake wakabatizwa?"
Na. "Mungu ana roho ya baba, babayako alikuwa mtu mwema, yuko Mbinguni naye, nina uhakika,"
Kulingana na kitabu cha Marko 16:16 "Yeyote asiye na imani ataangamizwa."
#newsRejkhrdoll
sw.news
31

Maaskofu Wa Kanada Walijadili Kuutupilia Mbali Useja

Maaskofu Wakatoliki wa Quebec wamejadili kuutupilia mbali useja wakati wa mkutano katikati mwa mwezi Machi, kituo cha Catholic Herald (Aprili 6) kimetangaza. Kulingana na Askofu msaidizi wa Quebec …More
Maaskofu Wakatoliki wa Quebec wamejadili kuutupilia mbali useja wakati wa mkutano katikati mwa mwezi Machi, kituo cha Catholic Herald (Aprili 6) kimetangaza.
Kulingana na Askofu msaidizi wa Quebec Marc Pelchat, maaskofu hao walizungumza kuhusu kuwatawaza wanaume waliofunga ndoa wa umri fulani.
Wakati huo huo, Pelchat alikiri kuwa, mwongo uliopita, kumekuwa na upungufu mwingi katika hamu ya kupata Sakramenti nchini Kanada, "Kanisa limekuwa kama baki la kitambo, linaloelekea kubaguliwa."
Hili linadhihirisha mbinu ya kihuria ya kuliangamiza Kanisa: Kwanza wahuria wayalete mabadiliko haribifu na, kisha, wayavune matunda yaliyooza. Kisha wayatumie matunda hayo yaliyooza kuyaleta mabadiliko zaidi haribifu.
Picha: © Mazur, catholicnews.org.uk, CC BY-NC-SA, #newsMefksxbwdz
sw.news
27

Marekebisho Ya Kuchukiza: Upungufu Katika hudhurio La Ibada ya Misa NI Mwingi Zaidi Chini Ya Papa Francis Katika Miongo Mingi

Hudhurio la kila juma miongoni mwa Wakatoliki wa Marekani limeshuhudia upumgufu mwingi tangu kuchaguliwa kwa Papa Francis kulingana na Gallup Poll (Aprili 9), Hudhurio lilikuwa asilimia 39 tangu mwaka …More
Hudhurio la kila juma miongoni mwa Wakatoliki wa Marekani limeshuhudia upumgufu mwingi tangu kuchaguliwa kwa Papa Francis kulingana na Gallup Poll (Aprili 9),
Hudhurio lilikuwa asilimia 39 tangu mwaka wa 2014 hadi 2017 huku tangu mwaka wa 2005 hadi 2008 ulikuwa asilimia 45.
Lilipungua hivyo basi kwa zaidi ya asilimia 10 huku likiwa thabiti miongoni mwa Waprotestanti.
Upungufu huu unaendelea tangu Baraza la Pili la Vatikani. Hata hivyo mtindo huu ulisita katika miaka ya kwanza ya upapa wa Benedict XVI lakini ukarejea kwa kishindo chini ya Papa Francis huku hudhurio likipungua kwa ghafla zaidi ikilinganishwa na miaka ya 1970.
Picha: © Mazur, catholicnews.org.uk, CC BY-NC-SA, #newsGskxuuyxdu
sw.news
30

Francis Hupinga Kufanywa Upya Kwa Novus Ordo - Kadinali Sarah

Mwanahabari Mholanzi Hndro Munsterman ameripoti kupitia kwa mtandao wa Twitter (Aprili 3) kwamba "Wakati wa ziara ya kibinafsi kwa Watawa wa Wabenedikti nchini Uholanzi, Kadinali Sarah alisema kwamba …More
Mwanahabari Mholanzi Hndro Munsterman ameripoti kupitia kwa mtandao wa Twitter (Aprili 3) kwamba
"Wakati wa ziara ya kibinafsi kwa Watawa wa Wabenedikti nchini Uholanzi, Kadinali Sarah alisema kwamba "papa hajaidhinisha kitabu cha ibada kilichokamilishwa (ambacho kinahususha aina zote mbili pamoja), lakini kwamba yeye na wafuasi wake wanalifikiria jambo hilo: 'utulivu unahitajika'."
Ni kana kwamba Sarah, kinara wa Shirika la Ibada Takatifu, ana dhana za toleo jipya la Novus Ordo ambalo huenda likahusisha sehenu kadhaa za Ibada ya Warumi.
Munsterman alipata habari zake kutoka kwa Padre Harm Schilder ambaye alihudhuria mkutano huo na kuandika kuuhusu kwenye gazeti la kila juma la Katholiek Nieuwsblad.
Picha: Robert Sarah, © Antoine Mekary, Aleteia CC BY-NC-ND, #newsKtbqhtroos
sw.news
24

Ombi Dhidi ya Vita Dhalimu Nchini Syria: "Wengine Wetu Hukumbuka Vita Vya Pili Vya Ulimwengu"

Mwanahabari Mmarekani/Mjerumani Maike Hickson na mumewe, Daktari Robert Hickson, mwenye shahada katika chuo kikuu cha West Point na aliekuwa mwanajeshi katika kikosi cha Special Forces, wameanzisha ombi …More
Mwanahabari Mmarekani/Mjerumani Maike Hickson na mumewe, Daktari Robert Hickson, mwenye shahada katika chuo kikuu cha West Point na aliekuwa mwanajeshi katika kikosi cha Special Forces, wameanzisha ombi dhidi ya upanuzi wa mzozo wa Syria.
Ombi hilo linasema kwamba kisasi cha kijeshi dhidi ya Syria "sio halali" kwani shambulizi la gesi lisemekanalo halijachunguzwa na kuidhinishwa na shirika la kitaalam la uchunguzi wasiopendelea upande wowote, "Wengine wetu hukumbuka vita vya pili vya ulimwengu (World War II) na madhara yake dhidi ya rai wengi ambao hawakuwa na hatia."
Ombi hilo lilichapishwa kwenye mtandao wa change.org na linasemekana kupata zaidi ya saini 3500.
Ili kutia saini kwenye ombi hilo - jina lako halitachapishwa bonyeza hapa
#newsQdmpiwovyd
sw.news
45

Blogu La Askofu : Uchaguzi Wa Francis Ni Batili

Askofu Mstaafu Rene Gracida, 94, wa Corpus Christi, Texas, alichapisha kwenye mtandao wa Abyssum.org (Aprili 7) nakala ya mgeni ambaye hakutambulishwa ambayo inatilia shaka kuchaguliwa kwa Papa Francis/ …More
Askofu Mstaafu Rene Gracida, 94, wa Corpus Christi, Texas, alichapisha kwenye mtandao wa Abyssum.org (Aprili 7) nakala ya mgeni ambaye hakutambulishwa ambayo inatilia shaka kuchaguliwa kwa Papa Francis/
Nakala hiyo inapendekeza kwamba makadinali "waliomtangulia Francis" wamchague papa mwingine.
Madai ya mwandishi huyo yana msingi wa kikatiba Universi Dominici Gregis kuhusu uchaguzi Askofu wa Rome ambayo ilitolewa na John Paul II mnamo mwaka wa 1996.
Katiba hiyo imepiga marufuku uhusiano wowote wa kisiasa wa "mgombezi" na "vitendo vyovyote" vilivyoandaliwa kwa upapa utakaokuja.
Lakini katika hali ya Francis, Makadinali wahuria wamekiri kwamba walikutana kwa miaka mingi ili kupanga kuchaguliwa kwa Kadinali Bergoglio (“St Gallen Mafia”).
Mnamo mwezi Septemba mwaka wa 2017, Askofu Gracida aliwema kwamba " Ni Mungu pekee ndiye ajuaye iwapo Francis ni Papa bandia".
Picha: Rene Gracida, #newsLgugxaoaqz
sw.news
21

Shirika La Malta Lawaadhibu Wapinzani Wake

Wanachama wa Shirika la Malta kote duniani wameonywa dhidi ya kukiunga mkono kitabu cha “The Dictator Pope” au mwandishi wa kitabu hicho, kituo cha Catholic Herald kimetangaza. Onyo hilo lilitumwa …More
Wanachama wa Shirika la Malta kote duniani wameonywa dhidi ya kukiunga mkono kitabu cha “The Dictator Pope” au mwandishi wa kitabu hicho, kituo cha Catholic Herald kimetangaza. Onyo hilo lilitumwa kupitia kwa barua pepe mnamo Jumamosi Takatifu.
Endapo wanachama "watalikiuka onyo hilo" wametishiwa kuchukuliwa hatua ya kiadhau.
Shirika hilo pia limewauliza wanachama wake kuwachunguza wenzao na kupiga ripoti "haraka" kuhusu yeyote ambaye haambatani na kanuni za shirika hilo.
Picha: Ordine di Malta, © Giorgio Minguzzi, CC BY-SA, #newsNdxovdfvtp
sw.news
27

Wote Walioko Kwenye Opus Dei Huunga Mkono "hekima" ya Papa Francis

Shirika la Opus Dei halina shida na Papa Francis ila linamuunga mkono pamoja na kazi yake, kulingana na mkuu wake nchini Marekani, Monsignore Thomas Bohlin. Kwenye barua yake kwa New York Times (Aprili …More
Shirika la Opus Dei halina shida na Papa Francis ila linamuunga mkono pamoja na kazi yake, kulingana na mkuu wake nchini Marekani, Monsignore Thomas Bohlin.
Kwenye barua yake kwa New York Times (Aprili 3), Bohlin alizungumza kwa "niaba ya wote wa Opus Dei".
Bohlin ameandika kwamba "hekima" ya Francis inasemekana kuhusisha "uwazi wa utofauti".
Kulingana na Bohlin hili lina maana kwamba Francis ana urafiki na mashirika ya wahuria na wahifidhina kwa wakati mmoja.
Picha: © Mazur, catholicnews.org.uk, CC BY-NC-SA, #newsHluvjiijli
sw.news
18

Askofu Mwaustria: "Mkunjufu" Francis Hukataa Kuwa "Mkunjufu"

Askofu msaidizi mstaafu wa Salzburg Andreas Laun amesema kwamba Papa Francis hupenda sana kuzungumzia ukunjufu na neema lakini, wakati uo huo, kuwatupilia mbali hata makadinali, wanaposhuku mafunzo yake …More
Askofu msaidizi mstaafu wa Salzburg Andreas Laun amesema kwamba Papa Francis hupenda sana kuzungumzia ukunjufu na neema lakini, wakati uo huo, kuwatupilia mbali hata makadinali, wanaposhuku mafunzo yake [tatanishi] na kutaka kuwe na mjadala wa kidugu wenye ukunjufu.
Akiandika kwenyre mtandao wa kath.net (Aprili 10), Laun pia alisema kwamba, katika nakala ya Amoris Laetitia, Francis hatoi majibu wazi yanayoeleweka kama walivyofanya waliomtangulia.
Laun ni mwanateolojia wa maadili na mfuasi mwaminifu wa shirika la pro-life. Wengi wa Maaskofu wa Australia ni pro-choice.
Picha: © Mazur, catholicnews.org.uk, CC BY-NC-SA, #newsQyglrqktkq
sw.news
32

De Mattei: " Baba Mtakatifu, Wewe Ndiwe wa Kwanza Kuwajibikia Utata"

Papa Francis hajasababisha utata ulioko Kanisani peke yake. Yeye pia ni mazao ya utaratibu wa kujibomoa kwa Kanisa ulio na mizizi ya ustaarabu, Nouvelle théologie, Baraza la Pili la Vatikani, na baada …More
Papa Francis hajasababisha utata ulioko Kanisani peke yake. Yeye pia ni mazao ya utaratibu wa kujibomoa kwa Kanisa ulio na mizizi ya ustaarabu, Nouvelle théologie, Baraza la Pili la Vatikani, na baada ya enzi za conculiar, mwanahistoria Mtaliano Roberto de Mattei alisema.
Kaizungumza na kituo cha Catholic Family News (Aprili 7), msomi huyo alisema kwamba haitoshi kuyakana makosa ila wanaoyaeneza makosa hayo wanastahili " kutajwa kwa majina".
"Le hii ni kazima tukubali kwamba papa mwenyewe hueneza na kusambaza makosa na uzushi Kanisani."
De Mattei ahimiza kuwe na ujasiri wa kusema: "Baba Mtakatifu, wewe ndiwe wa kwanza kuwajibikia utata uliopo leo Kanisani."
Na, " Wewe ndiwe wa kwanza kuwajibikia uzushi unaotanda Kanisani leo. Wa kwanza, lakini sio wa pekee ulio na wajibu huo.
Picha: © Mazur/catholicchurch.org.uk, CC BY-NC-SA, #newsJfvogriyql
sw.news
21

Askofu Mkuu Wa Philadelphia Akisifu Kitabu Ambacho Kinamkashifu Francis Vikali

Askofu mkuu wa Philadelphia Chaput alikiita kitbau cha Ross Douthat To Change the Church "chenye maarifa na cha kuvutia". Douthat ni mwandishi na mwandishi wa habari wa gazeti la habari bandia la New …More
Askofu mkuu wa Philadelphia Chaput alikiita kitbau cha Ross Douthat To Change the Church "chenye maarifa na cha kuvutia".
Douthat ni mwandishi na mwandishi wa habari wa gazeti la habari bandia la New York Times.
Kitabu chake kinamkashifu vikali Papa Francis. Kilichapishwa mnamo mwezi Machi mwaka wa 2018.
#newsBlsbiafxzp
sw.news
27

Hakuna "Sahihisho Rasmi" Kwa Sababu Brandmüller Alipoteza Ukakamavu Wake

Kadinali Raymond Burke hahatoa sahihisho rasmi la Amoris Laetitia, kama alivyotangaza mara kadhaa mnamo mwaka wa 2017. Hilary White aliandika kwenye blogu lake whatisupwiththesynod.com (Aprili 9) …More
Kadinali Raymond Burke hahatoa sahihisho rasmi la Amoris Laetitia, kama alivyotangaza mara kadhaa mnamo mwaka wa 2017.
Hilary White aliandika kwenye blogu lake whatisupwiththesynod.com (Aprili 9) kwamba Brandmüller alipoteza ukakamavu wake baada ya vifo vya Makadinali Meisner na Caffarra na kumwambia Kadinali Burke kwamba hangeendelea zaidi. Hivyo basi Burke alitupilia mbali sahihisho hilo rasmi.
Whitie aliliita Tangazo la Imani walilolifanya Burke na Brandmüller hivi maajuzi "tangazo la kusema kwamba wamesalimu amri".
Na, "Dubia limeisha kama zoezi."
Picha: Walter Brandmüller, © Manfred Ferrari, #newsCpwoysdyvz