sw.news
33

Padre Weinandy, Francis Ni "Agenti Wa Utengano"

Mundisho na elimu ya maadili ya Kanisa "kwa njia nyingi kuu" hayatolewi kulingana na utaratibubwa Papa Francis, Padre Thomas Weinandy alisema kupitia kwenye blogu la Sandro Magister (Februari 22). …Zaidi
Mundisho na elimu ya maadili ya Kanisa "kwa njia nyingi kuu" hayatolewi kulingana na utaratibubwa Papa Francis, Padre Thomas Weinandy alisema kupitia kwenye blogu la Sandro Magister (Februari 22).
Weinandy aliandika kuwa Francis "huwa kama agenti wa kuleta utengano" hukj akimkashifu kwa madai ya kukubalintena imani wazi ya kitume kwa njia isiyoeleweka vyema ili kuleta ghasia na utata miongoni mwa jamii ya wachungaji".
Hili husababisha "kusambaratika kwa ukatoliki wa Kanisa" kwani maaskofu wanatafsiri tamaduni za kimafundisho na maadili kwa njia kadaha zinazohitilafiana.
Hivyo basi, alama za Kanisa za kitume na ukatoliki "zimekuwa katika hali shaghala-baghala ya kimafundisho na kimaadili". Weinandy aliliita jambo hili udikteta wa kitwologia ambao Francis mwenyewe ameuanzisha.
Picha: Thomas Weinandy, #newsZrflxonvrt