sw.news
43

Kampeni Ya Parolin Kuwa Papa Ni Nzito Baada Ya Kashfa Ya China

Ed Condon, mtaalamu wa sheria za Kanisa na ambaye pia ni mwanahabari, hakuamini madai ya Kadinali Pietro Parolin kuwa ameweza kuyadhibiti mazungumzo na serikali ya China. Parolin ndiye Waziri wa Masuala …Zaidi
Ed Condon, mtaalamu wa sheria za Kanisa na ambaye pia ni mwanahabari, hakuamini madai ya Kadinali Pietro Parolin kuwa ameweza kuyadhibiti mazungumzo na serikali ya China. Parolin ndiye Waziri wa Masuala ya Nchi za Kigeni wa Vatikani.
Akizungumza katika kipindi cha kidini cha The Spectator (Februari 2), kilichoandaliwa na Damian Thompson, Condon alirejelea baadhi ya juhudi zake Parolin zilizokosa mafanikio: Safari ya Uchungaji kuelekea Chile, kufutilia mbali WAnajeshi wa Malta, fedha za Vatikani.
Codon ana imani kuwa baada ya makubaliano kati ya China na Vatikani yaliyojawa na utata, upapa wa Parolin huenda ukakosa kutimia.
Damian Thompson aliongeza kwamba Parolin anataka "sana" kuwa Papa.
Picha: Pietro Parolin, © wikicommons, CC BY-SA, #newsCvokvtonky