sw.news
66

Mwana Wa Waziri Mkuu: Picha Za Ibada Yake Ya Kwanza Ya Misa Za Kale

Mnamo Jumapili ya Pentekoste, Padre Tymoteusz Szydło, mwana wa Kwanza wa Waziri Mkuu wa Upoli Beata Szsydlo (54), alisherehekea ibada yake ya kwanza ya ibada za misa za kale katika kanisa la Msalaba Mtakatifu mjini Krakow.

Padre Szydlo aliwaambia waandisi wa habari wa Upoli kuhusu uhusiano kati yake na mamake,"Sasa, kupatana kwangu na mamangu ni kugumu kidogo, kwa sababu ya majukumu yake kadhaa, lakini hili haliamui uhusiano wetu. Mama yupo maishani mwangu, yeye huniunga mkono na kuandamana nami."

Picha

#newsKlbxdcehzv