sw.news
80

Brigitte Bardot Amshutumu Papa Francis

Aliyekuwa nyota maarufu Mfaransa Brigittie Bardot amemshutumu Papa Francis kupitia kwa barua ya ukosefu wa huruma kwa wanyama na kuunga mkono uhamaji wa Waislamu "na kuwadhuru Wakristo walio Mashariki ya Kati". Bardot pia anasema kuwa hapo awali alimwandikia Francis barua mbili ambazo hazikupata jibu.

#newsVfvbdiwosr