sw.news
81

Mavazi Yake Ya Upadre Yalimwokoa

Padre Maurizio Pallù aliponea chupuchupu baada ya wahalifu wa Nigeria waliokuwa wamemteka nyara kumwachilia huru kwani alikuwa kavalia mavazi ya kasisi, Pallù aliambia La Fede Quotidiana (Novemba 30).

Padre Pallù ni kasisi wa dayosisi ya Roma ambayr ni mwanachama wa shirika la Neocatechumenal way.

Alitekwa nyara Kisini mwa Nigeria na genge la majambazi, "Nilikumbwa na woga mwingi, waliokuwa pamoja nami walipigwa na kutolewa vitisho ila mimi hawakunidhulumu kwani nilikuwa kavalia kama kasisi."

Picha: Maurizio Pallù, #newsQeonrzkzpw