sw.news
88

"Shahawa"- Shambulizi Dhidi y Rocco Buttiglione

Mnamo Mei 27, Gloria.tv ilirekodi mjini Budapest, nchini Hungaria, mahojiano na Mwanafalsafa wa Italia na Mwanasiasa Rocco Buttiglione. Mahojiano hayo yalikatizwa na mwanamke asiyejulikana na aliyekuwa …Zaidi
Mnamo Mei 27, Gloria.tv ilirekodi mjini Budapest, nchini Hungaria, mahojiano na Mwanafalsafa wa Italia na Mwanasiasa Rocco Buttiglione. Mahojiano hayo yalikatizwa na mwanamke asiyejulikana na aliyekuwa na hasira ambaye hakujitambulisha. Alikuwa amebeba kikombe cha plastiki kilichokuwa kimejaa, kulingana naye, shahawa ya binadamu.
Mwanamke huyo alikishika kikombe hicho usoni mwa Buttiglione na kumpigia kelele: " Hii ni shahawa. Ungetaka kuonja shahawa? Huu ni uhai halisi."
Kisha akaanza kumtukana huku akishambulia Buttiglione kwa kumskuma na kunena maneno machafu kwa sauti ya juu, "Usiongee ninapo kuongelesha, f**ing a**hole." "Unachukiza. wewe ni fu**ing."Ilibainika kuwa yeye huunga mkono uavya mimba.
Buttiglione alijibu: " Je, tutazungumzia kuwa uavyaji mimba ni uuaji? Kila mwaka mamilioni ya watoto ambao bado hawajazaliwa huuawa." Tukio hili liliendelea kwa dakika kadhaa. Buttiglione alikuwa mwenye utulivu huku akijaribu kumtuliza mwanaharakati huyo wa uavyaji mimba aliyekuwa na hasira. …Zaidi